UNNewsKiswahili - Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa

at United Nations Plaza, New York, 10017 United States

Radio ya Umoja wa Mataifa inaripoti shughuli za UM kutoka makao yake makuu mjini New York na kote duniani.@UNNewsKiswahili


UNNewsKiswahili - Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa
United Nations Plaza
New York , NY 10017
United States
Contact Phone
P: Phone
Website
http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/

Description

News production: Video, audio and texts

How To Get to UNNewsKiswahili - Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa

Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa inaripoti shughuli za UM kutoka makao yake makuu mjini New York na kote duniani.Masuala ya amani na usalama, maendeleo na haki za binadamu ni masuala yanayotuhusu , hivyo habari za utatuzi wa migogoro, uchaguzi, afya, umasikini, elimu na mabadiliko ya hali ya hewa yanachukua nafasi kubwa katika orodha ya mada tunazoripoti. Issues of Radio ya UM mbali y kutangaza habari na makala pia inatoa fursa ya bure kwa watu kupata sauti mbalimbali kupitia kwenye tovuti ya makataba yake ambayo ni (UN Audio Library website), sauti hizo ni kutoka kwenye mikutano inayoendelea na matukio ya kila siku , na pia sauti zilizohiofadhiwa zamani maktaba. Pia sauti hizo zinapatikana katika ubora wa hali ya juu na mtu anaweza kurekodi moja kwa moja kutoka kwenye tovuti yetu kwa kutumia faili ya MP3 .

Company Rating

927 Facebook users were in UNNewsKiswahili - Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa. It's a 14 position in Popularity Rating for companies in Organization category in New York, New York

213143 FB users likes UNNewsKiswahili - Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa, set it to 4 position in Likes Rating for New York, New York in Organization category

!-- Global site tag (gtag.js) - Google Analytics -->